DAR ES SALAAM: TIMU ya Championship ya B19 imepania mchezo wa Kombe…
SINGIDA : MENEJA wa timu ya Singida Black Stars na mchezaji wa…
MBEYA: KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa, amesema kikosi chake kiko…
MWANZA: KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema sare ya mabao…
DAR ES SALAAM: KIUNGO wa Singida Black Stars, Khalid Aucho, amevunja ukimya…
ZANZIBAR:KIPUTE cha watani wa jadi kati ya Yanga na Simba kinatarajiwa kupigwa…
LOS ANGELES: Mjasiriamali na nyota wa burudani Paris Hilton amezindua mfuko maalumu wa kusaidia wanawake wamiliki wa biashara ndogo waliokumbwa…
Read More »
DR CONGO: Rais wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Congo FECOFOOT, Jean-Guy Blaise Mayolas, amehukumiwa kifungo cha maisha jela…
Read More »
MADRID, Hispania: Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa beki wake Álvaro Carreras na Kylian Mbappé wataukosa mchezo muhimu wa Ligi…
Read More »
MIAMI: Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na mshambuliaji wa Inter Miami, Lionel Messi, anakaribia kufikisha bao lake la…
Read More »
DAR ES SALAAM: MSHINDI wa shindano la Mkali wa Jiko msimu wa sita anatarajiwa kuondoka na zawadi ya Shilingi milioni tano pamoja na kusomeshwa Chuo cha Taifa cha Utalii, sambamba…
LONDON: NYOTA wa zamani wa tenisi duniani, Serena Williams, anatarajiwa kurejea tena kwenye mashindano ya ushindani baada ya taarifa kueleza kuwa huenda akacheza michuano ya Queen’s Club mwezi ujao nchini…
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, amewaongeza wachezaji wawili wa Serengeti Boys katika kikosi cha timu ya taifa kuelekea michezo miwili ya kirafiki ya kalenda ya…
Real Madrid yapata nguvu kumsajili beki wa Liverpool MADRID: REAL Madrid imepata nguvu mpya katika harakati za kumsajili beki wa Liverpool, Ibrahima Konate, wakati klabu hiyo ikisaka mbadala wa David…
BUENOS AIRES: NAHODHA wa Argentina, Lionel Messi anatarajiwa kucheza Kombe la Dunia la sita baada ya kutajwa kwenye kikosi cha nchi hiyo kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2026. Messi,…
DAR ES SALAAM: OFISA Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo amesema michezo ya kirafiki ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda na Rwanda ni sehemu…