MOROGORO: MSHAMBULIAJI wa Simba, Seleman Mwalimu, amesema bao alilofunga katika mchezo dhidi…
MGANGA wa jadi kutoka Ghana, Nana Kwaku Bonsam, amedai kuwa alitumia nguvu…
ZANZIBAR: KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema uchovu uliowakumba wachezaji…
ZANZIBAR:MWMBAJI maarufu kutoka jamii ya Wahadzabe, Chaba, ameeleza masikitiko yake kuhusu baadhi…
VALLETA: KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles M’Mombwa…
DAR ES SALAAM: MSANII wa filamu nchini, Isarito Mwakalindile, amewakaribisha wageni kutoka…
RWANDA: Dereva wa magari ya mashindano kutoka Kenya, Karan Patel, amesema ana imani kubwa ya kutimiza ndoto yake ya kutwaa…
Read More »
MAREKANI: Timu ya taifa ya Hispania imepata afueni kuelekea fainali ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Argentina baada ya…
Read More »
MAREKANI: Ufaransa na England zitashuka dimbani Jumamosi mjini Miami kuwania nafasi ya tatu ya Kombe la Dunia 2026, katika mechi…
Read More »
Marekani: Ufaransa na England zitashuka dimbani Jumamosi mjini Miami, Marekani, kupambana kuwania nafasi ya tatu katika Kombe la Dunia 2026,…
Read More »
DAR ES SALAAM:KOCHA Mkuu Juma Mgunda, amesema timu yake imejiandaa vizuri kwa mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania huku akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu wapinzani na kutimiza wajibu wao ndani ya…
ARUSHA:KOCHA Mkuu wa TRA, Etienne Ndayiragije, amesema kikosi chake kimejiandaa vyema kukabiliana na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid…
NEW YORK: WATENDAJI wawili wa kampuni ya masoko ya michezo kutoka Argentina, Hugo Jinkis na mwanawe Mariano Jinkis, wamekiri kutoa rushwa kwa maofisa wa soka duniani ili kupata haki za…
LOS ANGELES: MASTAA wakubwa wa muziki duniani, Taylor Swift na Beyoncé, wameungana na wasanii wengine kutoa salamu za heshima kwa gwiji wa muziki wa country, Dolly Parton, aliyefariki dunia akiwa…
MONACO: DROO ya hatua ya ligi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2026/27 imezua hamasa kubwa baada ya vigogo wa soka la Ulaya kukutana katika mechi zinazotarajiwa kuwa…
DAR ES SALAAM:NAHODHA wa timu ya taifa ya wanawake ya vijana, Tanzanite Queens, Diana Mnally amesema kikosi hicho kimejiandaa kikamilifu kwa ajili ya kushiriki Kombe la Dunia la Wanawake chini…