SIMBA na Young Africans SC zimepangwa kukutana Oktoba 19, 2024 katika mchezo wa Ligi Kuu NBC utakaopigwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, ratiba iliyotolewa hivi punde na Bodi ya Ligi (TPLB) imethibitisha.
Timu hizo zitakutana tena Machi 1, 2025 katiak mchezo wa marudiano.
Ratiba inaonesha Agosti 18, 2024 mechi ya kwanza Simba wataanza na Tabora United Uwanja wa KMC Complex, wakati Young Africans wataanza na Kagera Sugar Agosti 29, 2024 Uwanja wa Kaitaba.
Agosti 29, 2024 Azam FC watakuwa ugenini kukabiliana na JKT Tanzania katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo, Dar es Salaam.
Ratiba kamili hii hapa>>>>>>>>>>>>