ZOTE: HIVI KARIBUNI

  • Africa

    Mwigulu: Simba mmetuheshimisha

    DODOMA: Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba amewapongeza wanafainali wa kombe la shirikisho barani Africa wekundu wa msimbazi Simba Sports Club kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe hilo na…

  • Africa

    ‘Simba wasibwete, Yanga, GSM zatajwa’

    DODOMA: WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema Simba wasibweteke kwa kuwa mafanikio ambayo wanajivunia leo sio mapya kwa Yanga kwani walifika hatua kama hiyo mwaka juzi ambayo kwa kiasi…

  • Nyumbani

    Hatuchezi sasa kuhamia Simba

    DAR-ES-SALAAM, MECHI ya watani wa jadi maarufu kama Kariakoo Derby imeendelea kuwa kitendawili kigumu wakati huu ambao matamko na taarifa zimekuwa zikipishana kila kukicha huku kukiwa na sintofahamu ya kipute…

  • Nyumbani

    Dk Nchemba ampa tano Bakhresa kwa uwekezaji

    DODOMA: WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amempongeza Said Salim Bakhresa kwa uwekezaji mkubwa katika tasnia ya michezo ambao umekuwa chachu ya maendeleo ya michezo nchini, hususan kupitia matangazo ya…

  • Nyumbani

    Sekta binafsi ina mchango sekta ya sanaa

    SEKTA binafsi imeendelea kuwa na mchango katika kuendeleza sekta ya sanaa, michezo na ubunifu kwa kushiriki katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi…

  • Kwingineko

    Sane atimkia Uturuki

    ISTANBUL, Winga wa Bayern Munich, Leroy Sane yuko mbioni kukamilisha dili lake la kuhamia katika klabu ya Galatasaray ya Uturuki kama mchezaji huru baada ya mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich…

Back to top button