MAKALA YA KARIBUNI

Enzo kufanyiwa upasuaji

  BREAKING: KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez atakosa mechi zote zilizobakia za Ligi Kuu England, ambapo anatarajia kufanyiwa upasuaji wa hernia. Muargentina huyo alitakiwa kufanyiwa upasuaji mwezi wiki kadhaa zilizopita ilishindikana kutokana na mchango wake kwenye timu hiyo licha ya maumivu...

Azam FC mnawaelewa lakini?

0
DAR ES SALAAM; Azam FC ni kama wanacheza michezo yao ya Ligi Kuu kwa hesabu kali huku wakiendelea kupunguza mwanya wa alama baina yao na vinara Yanga. Mpaka sasa matajiri hao wa kusini mwa Dar es Salaam wameshuka dimbani mara...

Mashabiki Yanga kupata simu za mkopo

KLABU ya Yanga SC imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment ambapo mashabiki wa timu hiyo watakopeshwa simu na kulipa kwa awamu. "Mwanachama na shabiki wa Young Africans ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha...

Azam kushiriki Kombe la Muungano

KLABU ya Azam FC imethibitisha kuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki Kombe la Muungano. Kombe la Muungano litaanza Aprili 23 hadi 27, 2024 visiwani Zanzibar. “Tunathibitisha tutakuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kombe la Muungano, itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23...

Pochettino atoa onyo la mwisho

0
MKUFUNZI wa Chelsea, Mauricio Pochettino amekasirishwa na mzozo wa nani angepiga penalti katika ushindi wao wa 6-0 dhidi ya Everton na amewaonya wachezaji wake kutorudia tena. Nicolas Jackson na Noni Madueke walibishana kuhusu nani angepiga mkwaju wa penalti, kabla ya...

Mazembe yakanusha kifo cha Kalaba

0
KLABU ya TP Mazembe imekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa mchezaji wao Rainford Kalaba. Awali taarifa ya klabu hiyo ilisema mchezaji huyo amefariki katika ajali nchini Zambia. Taarifa ya pili ya TP Mazeme inasema Kalaba yupo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi...

Kalaba wa TP Mazembe afariki dunia

0
Ajali yakataisha uhai wa Kalaba wa TP MazembeNYOTA wa zamani wa Zambia na TP Mazembe, Rainford Kalaba amefariki dunia leo katika ajali ya gari nchini Zambia. Kalaba, aliyezaliwa Agosti 14, 1986 amefariki akiwa na umri wa miaka 37, alilazwa hospitalini...

Inonga kulikoni? Mbona ameaga

BEKI wa Simba SC, Henock Inonga ameacha maswali kwa baadhi ya mashabiki wa timu hiyo baada ya kuweka alama za ‘emoji’kwenye’ instagram story’ yake zinazoashiri mtu anayetoa machozi na kuaga. Alama hizo hazijaambatana na maneno yoyote kama mshambuliaji huyo anaondoka...

Chelsea yaongoza ada za mawakala

0
CHELSEA ililipa zaidi ya £75m kwa mawakala wa soka na wasuluhishi katika kipindi cha miezi 12 hadi Februari 2024, huku vilabu vya ‘Premier League’ vikitumia pauni milioni 409.5 kwa jumla. Gharama ya Manchester City kwenye ada za wakala ilizidi £60m,...

Guardiola kumpumzisha Rodri

0
MENEJA wa Manchester City, Pep Guardiola anasema yuko tayari kumpumzisha Rodri baada ya kiungo huyo kusema anahitaji mapumziko. Rodri, 27, amecheza mechi 41 msimu huu na alidokeza baada ya sare ya Jumanne ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid...