Christian Eriksen amezumgumza na kocha Erik ten Hag kuelezea wasiwasi wake kuhusu kukosa muda wa kucheza Manchester United msimu huu.…
Read More »
MITANANGE ya ligi za mpira wa miguu katika mataifa mbalimbali zinaendelea leo zikiwemo tatu bora barani Ulaya. Michezo hiyo ni…
Read More »
BINGWA mtetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL)Manchester City itaikabili Real Madrid katika robo fainali ya michuano hiyo. Katika droo…
Read More »
Beki wa Arsenal, Ben White amesaini mkataba mpya wa miaka minne na klabu hiyo. White, 26, alijiunga na ‘The Gunners’…
Read More »
NEW YORK: MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Sean Combs (P.Didy), Cassie Ventura maarufu Cassie ameweka wazi kuwa kwa sasa hana mpango wa kurejea kuishi nchini Marekani baada ya kuhama nchi…
NAIROBI: RAPA maarufu kutoka Kayole, Nairobi nchini Kenya, Timothy Omondi maarufu Toxic Lyrikali amewaacha wengi wakishangaa baada ya kudai kwamba hakuwahi kuwa na mpango wa kuhudhuria hafla iliyofanyika Ikulu ya…
MUMBAI: NYOTA wa Bollywood, Akshay Kumar, ameendelea kuonesha kuwa mbali na mafanikio ya filamu, pia ni bingwa wa uwekezaji baada ya kuuza nyumba zake mbili zilizopo katika jiji la Mumbai…
THAILAND: MASHABIKI wa filamu za mapigano wana sababu ya kutabasamu baada ya taarifa kuthibitisha kuwa filamu mpya ya John Rambo imeanza rasmi kurekodiwa nchini Thailand, huku muigizaji Noah Centineo akitarajiwa…
LOS ANGELES: JUKWAA kubwa la utazamaji duniani, Netflix, limewaandalia mashabiki wake mwezi wenye pilika nyingi baada ya kutangaza ujio wa makala nane mpya zitakazoanza kuoneshwa mwezi huu wa Juni 2026.…
DAR ES SALAAM:BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka waogeleaji wa Tanzania wanaoshiriki Mashindano ya Kuogelea ya Wazi ya Afrika nchini Mauritius kurejea nyumbani na medali, likisisitiza kuwa safari yao…