Ligi Kuu
3 days ago
Gueye, Mngqithi wazoa tuzo Agosti
Nyumbani
3 days ago
Connor: Presha yote iko Yanga
Nyumbani
3 days ago
DAR ES SALAAM: UONGOZI wa Yanga umesema hakuna kilichobadilika katika maamuzi yao…
DAR ES SALAAM: STAA wa Simba, Joshua Mutale amerejesha tena tabasamu usoni…
DAR ES SALAAM: MSHAMBULIAJI wa JKT Queens Stumai Abdallah ananukia kuchukua kiatu…
DAR ES SALAAM: MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah, ameweka…
DAR ES SALAAM: KIKOSI cha Azam FC kipo kwenye maandalizi kabambe kuelekea…
DAR ES SALAAM: OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amewataka mashabiki na…
NAPLES: BEKI wa Qarabağ Kevin Medina aliyezimia baada ya kupigwa na shuti kali la mchezaji wa Napoli Scott McTominay katika…
Read More »
PARIS: KOCHA wa Tottenham Hotspur Thomas Frank ameapa kusimama imara na mpango wake wa ujenzi wa muda mrefu wa kikosi…
Read More »
MANCHESTER: KOCHA mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amejitwisha zigo la lawama kwa kipigo cha kushtukisha cha mabao 2-0 dhidi…
Read More »
LONDON: ILE vita iliyosubiriwa kwa hamu ya vijana barobaro Estevão na Lamine Yamal pale Stamford Bridge iliamuliwa kwa kishindo, baada…
Read More »
DAR ES SALAAM: Msafara wa Baiskeli wa Nyerere Cycling Tour mwaka huu unatarajiwa kutoa madawati 1,000 kwa shule 10, kukarabati madarasa 40 na kujenga madarasa mapya 10, ikiwa ni sehemu…
DAR ES SALAAM: KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Libasse Gueye, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu msimu wa 2026/27, huku Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, akitwaa…
DAR ES SALAAM: MWANDAAJI wa Shindano la Miss Tanzania, Leah Mwendamseke ‘Lamata’, amesema mshindi wa Miss Zone ataondoka na gari, huku mshindi wa taji la Miss Tanzania naye akijinyakulia gari…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Gaborone United ya Botswana, Sean Connor, amesema presha kubwa ipo kwa Yanga kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akisema wenyeji watakuwa na…
NEW YORK, Marekani: ELENA Rybakina amefuzu kwa mara ya kwanza katika historia ya kucheza fainali ya US Open baada ya kuonesha moyo wa kupambana na kumshinda mwenyeji Coco Gauff kwa…
MADRID, Hispania: MADEREVA wa Formula One wanatarajia wikendi yenye presha, ajali na ushindani mkali katika mashindano ya ‘Circuito de Madring’ utakaofanyika kama Spanish Grand Prix kwa mara ya kwanza. Licha…