Burudani

Harmonize arusha dongo kwa Mondi, Kiba

Msanii wa bongo fleva Rajab Abbdul, ‘Harmonize’ amerusha dongo kwa wasanii wenzake Alikiba na Naseeb Abdul ‘Diamond Platnum’ kuwa wameungana.

Harmonize ameandika kupitia barua yake ya ista story kuwa alichafukwa na roho kuona kaka zake anaowaheshimu kuona wakijibizana.

Na kuhusu nyimbo zake mpya”niliowai kuwa nao studio wanajua hilo situmii peni wala karatasi.Nimefanya dear X ndani ya dakika 5.”ameandika Harmonize

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button