Nyumbani
Azam vs Al Hilal kirafiki

KLABU ya Azam leo inashuka dimbani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal Omduman ya Sudan utakaofanyika Dar es Salaam.
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Azam Complex uliopo eneo la Chamazi.
Mara ya mwisho Azam ilicheza na Al Hilal wakati wa maandalizi ya msimu ikiwa kambini Tunisia na kushinda kwa mabao 3-0.