Burudani
Ali Kiba ampa neno Mandonga
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Ali Kiba ‘King Kiba’ atumia ujumbe kwa Bondia wa ngumi za kulipwa Karim Mandonga baada ya kupoteza Pambano usiku wa kuamkia Leo.
Kupitia ukurasa wake wa istagramu King Kiba ameandika hakuna maelekezo ukimpiga amekupiga amekupiga tu.
“Hakuna maelekezo mengine,ukimpiga amekupiga na akikupiga amekupiga..Mandonga mtu kazi ni mtu wa kazi.”ameankika KingKiba