Ligi Ya WanawakeNyumbani

Yanga Princess kazini Ligi Kuu leo

LIGI Kuu ya wanawake Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne.

Yanga Princess itakuwa mwenyeji wa Amani Queens kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam wakati Alliance Girls ni wageni wa Bunda Queens kwenye uwanja wa Karume, mjini Musoma, Mara.

Fountain Gate Princess itakuwa uwanja wa nyumbani wa Jamhuri, Dodoma kuivaa Ceasiaa Queens huku JKT Queens ikiwa mgeni wa Geita Gold Queens kwenye uwanja wa Nyankumbu, Geita.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button