Muziki
23 hours ago
Rema atangaza onesho nchini Rwanda
Filamu
23 hours ago
Filamu mpya zitakazotikisa mwaka 2026
Nyumbani
23 hours ago
DAR ES SALAAM: TIMU ya Taifa Stars kesho itakuwa kibaruani katika mchezo wa marudiano wa kufuzu Fainali za ubingwa wa…
Read More »
LONDON: Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema kikosi chake bado hakijaondoka kwenye mbio za ubingwa wa Ligi kuu ya England…
Read More »
DAR ES SALAAM: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni nane kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa viwanja…
Read More »
MANCHESTER: KLABU ya Manchester United imemthibitisha Ruben Amorim kama kocha wao mpya baada ya tetesi za muda mrefu. Amorim raia…
Read More »
CAMEROON: MSANII wa muziki wa Injili kutoka Cameroon, Relie M, amewashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya wa rap, Only Jesus Know. Akizungumza na SportLeo,…
TIMU ya wanawake ya Yei Joint Stars kutoka Sudan Kusini imefuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano ya CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers 2026, yanayofanyika jijini Kigali, Rwanda Yei…
Rais wa UEFA, Aleksander Čeferin, amesema hana mpango wa kugombea nafasi ya urais wa FIFA dhidi ya Gianni Infantino katika uchaguzi ujao, licha ya kuongezeka kwa presha dhidi ya rais…
NIGERIA: Msanii wa Afrobeats kutoka Nigeria, Rema, anatarajiwa kuwa msanii mkuu katika tamasha la Kwita Izina Concert 2026, tamasha litakalofanyika katika ukumbi wa BK Arena jijini Kigali, Rwanda, Septemba 5,…
MSIMU wa mwisho wa mwaka 2026 unatarajiwa kuwa na burudani kubwa kwa mashabiki wa filamu, huku Hollywood ikijiandaa kuachia filamu kadhaa zinazotarajiwa kuvuta hisia za watazamaji duniani. Miongoni mwa filamu…
MAREKANI: Mtayarishaji na mwandishi wa mfululizo maarufu wa televisheni ‘Yellowstone’, Taylor Sheridan, anakabiliwa na kesi ya madai ya ukiukaji wa hakimiliki baada ya mwandishi Lauren J. Salkin kumshutumu kutumia wazo…