Burudani
Nandy, Zuchu kuna jambo

Msanii wa bongo fleva Faustina Mfinanga, ‘Nandy’ amesema kuwa watanzania watarajie lolote baina yake na msanii mwenzake Zuhura Othumani, ‘Zuchu’.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nandy amesema kuwa hakuna ugomvi wowote baina yake na Zuchu.
“Nampenda Zuchu ni rafiki yangu tarajieni lolote baina yetu, ni msanii mzuri anafanya vizuri sichukii kufananishwa nae.” amema Nandy
Ameongeza kuwa niwakati wa wasanii wa kike kushirikiana katika kufanyakazi kwa bidii.