Man City vs Liverpool mtego EPL

KIVUMBI kitatimka leo katika mitanange ya Ligi Kuu tano bora barani ulaya huku mechi inayosubiriwa kwa hamu ikiwa ni Manchester City dhidi ya Liverpool Ligi Kuu England(EPL).
Man City inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 28 mbele ya Liverpool yenye pointi 27 zote izikiwa zimecheza michezo 12.
Hivyo iwapo Man City itashinda, itaiacha Liverpool kwa pointi 4 lakini The Reds ikishinda itakuwa mbele ya Manc City kwa pointi mbili.
Lakini pia Arsenal yenye pointi 27 iliyopo nafasi ya tatu ikishinda mchezo dhidi ya Brentford huku Man City na Liverpool zikitoka sare, itakuwa na pointi 30 na kuongoza ligi.
Michezo mingine ya ligi hizo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE:
Burnley vs West Ham United
Luton Town vs Crystal Palace
Newcastle United vs Chelsea
Nottingham Forest vs Brighton
Sheffield United vs Bournemouth
LALIGA
Rayo Vallecano vs Barcelona
Valencia vs Celta Vigo
Getafe vs Almeria
Atletico Madrid vs Mallorca
SERIE A
Salernitana vs Lazio
Atalanta vs Napoli
AC Milan vs Fiorentina
BUNDESLIGA
Borussia Dortmund vs Borussia M’bach
Freiburg vs Darmstadt
Union Berlin vs Ausburg
Werder Bremen vs Bayer Leverkusen
Wolfburg vs RB Leipzig
Eintracht Frankfurt vs VfB Stuttgart
LIGUE 1
Clermont Foot vs Lens
Strasbourg vs Marseille