KwinginekoLa Liga
Girona kuendeleza ubabe Laliga?
LIGI Kuu Hispania msimu wa 2023/24 inaendelea leo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti.
Klabu ya Girona iliyopanda daraja msimu wa 2022/23 imekuwa moto ikishika nafasi ya pili ikiwa na pointi 45 sawa Real Madrid ikizidiwa magoli baada ya michezo 18.
Pamoja na LaLiga pia michezo miwili ya raundi ya 16 Kombe la Italia na mmoja wa taji la Chama cha Soka Ufaransa inapigwa.
Michezo hiyo ni kama ifuatavyo:
LALIGA
Granada vs Cadiz
Celta Vigo vs Real Betis
Real Madrid vs Mallorca
Girona vs Atletico Madrid
COPPA ITALIA
Atalanta vs Sassuolo
Roma vs Cremonese
TROPHEE DES CHAMPIONS
Paris Saint-Germain vs Toulouse