Kwingineko
EPL yafikia patamu
MICHUANO ya ligi za soka maeneo mbalimbali duniani inaendelea leo zikiwemo tano bora barani ulaya huku ligi yenye mvuto zaidi ya England(EPL) ikifikia patamu.
Arsenal inayoshika nafasi ya tatu EPL ikiwa na pointi 61 inashuka dumba la Emirates leo kuikaribisha Brentford na ikishinda itaongoza ligi ingawa itakuwa imezitangulia Liverpool na Manchester City kwa mchezo mmoja.
Vinara wa ligi hiyo Liverpool yenye pointi 63 itakuwa uwanja wa nyumbani wa Anfield Machi 10 kuwaalika Manchester City inayoshika nafasi ya pili ikiwa na pointi 62 na yeyote kati yao atakayeshinda ataongoza ligi.
Michezo mingine ya ligi tano bora ulaya leo ni kama ifuatavyo:
[PREMIER LEAGUE] Manchester United vs EvertonBournemouth vs Sheffield United
Crystal Palace vs Luton Town
Wolves vs Fulham [LALIGA] Valencia vs Getafe
Cadiz vs Atletico Madrid
Granada vs Real Sociedad
Girona vs Osasuna [SERIE A] Cagliari vs Salernitana
Sassuolo vs Frosinone
Bologna vs Inter
Genoa vs Monza [BUNDESLIGA] Augsburg vs FC Heidenheim
Bayern Munich vs Mainz
Borussia Monchengladbach vs FC Cologne
RB Leipzig vs Darmstadt
Werder Bremen vs Borussia Dortmund
LIGUE 1
Lorient vs Lyon
Lens vs Brest