World Cup

Ni Real Madrid vs Al Ahly kombe la dunia la Klabu

Real Madrid ipo Morocco Kaskazini mwa Afrika kuivaa Al Ahly kwenye mchezo wa Kombe la Dunia la Klabu.

Mchezo huo utafanyika uwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopo mji mkuu wa Morocco, Rabat.

Katika mchezo mmoja uliopigwa Februari 7 Al Hilal ya Saudi Arabia imeitoa Flamengo ya Brazil baada ya ushindi wa mabao 3-2.

Related Articles

Back to top button