Kufuzu Kombe la Dunia Afrika, Ulaya

BAADA ya Qatar kuikanda Afghanistan mabao 8-1 Novemba 16 katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 ukanda wa Asia, michuano huyo inaendelea leo zikwemo mechi 11 ukanda wa Afrika.
Mechi za ukanda wa Afrika leo ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Burkina Faso vs Guinea Bissau
KUNDI D
Eswatini vs Libya
Cameroon vs Mauritius
KUNDI E
Zambia vs Congo
KUNDI F
Ivory Coast vs Seychelles
KUNDI G
Guinea vs Uganda
KUNDI H
Liberia vs Malawi
Tunisia vs Sao Tome na Principe
KUNDI I
Comoro vs Jamhuri ya Afrika ya Kati
Ghana vs Madagascar
Mali vs Chad
Michezo ya ukanda wa Ulaya ni hii hapa:
KUNDI C
England vs Malta
Italia vs Macedonia Kaskazini
KUNDI E
Moldova vs Albania
Poland vs Jamhuri ya Czech
KUNDI H
Kazakhstan vs San Marino
Finland vs Ireland ya Kaskazini
Denmark vs Slovenia