Wakenya wakerekwa mkimbiaji wao kuwa wa mwisho Olimpiki
PARIS: WAKENYA wengi wamechukizwa na mkimbiaji wao Gudaf Tsegay kumaliza wa mwisho katika mbio za mita 1500 kwa wanawake.
Wakenya waliingia kwenye mitandao baada ya mkimbiaji huyo kumaliza wa mwisho huku kila mmoja akitoa maoni yake kwa kilichosababisha mkimbiaji huyo kumaliza wa mwisho.
Tsegay awali alishindwa katika mbio za mita 5000 alizokuwa akishindana na mwanariadha mwenzake Mkenya Faith Kipyegon katika fainali ya mbio za mita 5000 kwa wanawake.
Kipyegon alimaliza wa pili katika kinyang’anyiro hicho lakini akafukuzwa baada ya upande wa Tsegay kuwasilisha rufaa kufuatia kuzozana kwao wakati wa mbio hizo hivyo Medali ya fedha aliyoipata Kipyegon ilirejeshwa baadaye baada ya Timu ya Kenya kukata rufaa.
Wawili hao walikutana katika mbio hizo zilizoonekana kuwa kama fainali kwao licha ya kutoka nchi moja huku wakijaribu kuwa binadamu wa kwanza kushinda medali tatu za dhahabu za Olimpiki katika mbio za mita 1500.