Mastaa

Steve akomalia jina la Nyerere

MCHEKESHAJI Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa jina la Steve Nyerere litabaki pale pale kwa shughuli za kibiashara ila utambulisho utabaki Mengere.

Steve Nyerere amesema kuwa kwa heshima ya Waziri wa Sanaa na Michezo pamoja na Naibu Waziri wamesema jina libaki kama linavyojulikana Steve Nyerere.

“Sina cha kubisha kwenye hilo nalipokea kwa mikono miwili ili tuendelee kupata lishe na ikishindikana kabisa hataki shida anaomba aitwe Steve Suluhu itapendeza zaidi,”amesema Steve Nyerere.

Related Articles

Back to top button