Ligi Ya WanawakeNyumbani

Simba Queens, Yanga Princess kukiwasha viwanja tofauti leo

Miamba ya soka la wanawake Simba Queens na Yanga Princess zinashuka viwanja tofauti leo katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara(SLWPL).

Yanga Princess itakuwa ugenini uwanja wa Jamhuri kuikabili Fountain Gate Princess wakati JKT Queens itawaalika Simba Queens kwenye uwanja wa Maj Gen Isamuhyo, Dar es Salaam.

Katika mchezo mwingine The Tigers Queens itakuwa mgeni wa Mkwawa Queens kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.

Related Articles

Back to top button