Patashika ligi 5 bora ulaya leo

MICHUANO ya mpira wa miguu ya ligi katika mataifa mbalimbali inaendelea leo ikiwemo ya ligi tano bora barani Ulaya.
Liverpool inaongoza Ligi Kuu England ikiwa na pointi 51 baada ya michezo 22 wakati Real Madrid ni vinara wa LaLiga ikiwa na pointi 57.
Huko Italia, Inter ndio wababe wa Serie A hadi sasa wakiwa na pointi 54 baada ya michezo 21 wakati katika Bundesliga, Ujerumani Bayer Leverkusen inaongoza ikiwa na pointi 49 baada ya michezo 19.
Na katika Ligi Kuu Ufaransa, Paris Saint-Germain inawatimulia vumbi wengine ikiwa na ponti 47 baada ya michezo 20.
Ifuatayo ni michezo ya ligi hizo bora barani ulaya leo:
PREMIER LEAGUE
Everton vs Tottenham Hotspur
Brighton vs Crystal Palace
Burnley vs Fulham
Newcastle United vs Luton Town
Sheffield United vs Aston Villa
LaLiga
Valencia vs Almeria
Granada vs Las Palmas
Deportivo Alaves vs Barcelona
Girona vs Real Sociedad
Serie A
Empoli vs Genoa
Udinese vs Monza
Frosinone vs AC Milan
Bologna vs Sassuolo
BUNDESLIGA
Bayern Munich vs Borussia Monchengladbach
Bochum vs Augsburg
Darmstadt vs Bayer Leverkusen
Freiburg vs VfB Stuttgart
Mainz vs Werder Bremen
FC Cologne vs Eintracht Frankfurt
LIGUE 1
Rennes vs Montpellier
Nantes vs Lens