World Cup
Patashika kufuzu Kombe la Dunia
MICHEZO minne ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico 2026 ukanda wa Afrika inapigwa leo.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Ethiopia vs Sierra Leone
KUNDI B
DR Congo vs Mauritania
KUNDI C
Rwanda vs Zimbabwe
KUNDI H
Guinea ya Ikweta vs Namibia