DAR ES SALAAM: IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri inaendelea, Meneja na Msimamizi…
Read More »
DAR ES SALAAM: UKISEMA Tamasha la Simba Day limeanza kuitetemesha Nchi utakuwa sahihi baada ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa…
Read More »
TANGA: KOCHA Mkuu wa wagosi wa kaya Coastal Union, David Ouma ameweka wazi kuwa kuwa anazitaka nafasi tatu za juu…
Read More »
MUMBAI, India: MHAMASISHAJI wa Mumbai Aanvi Kamdar amefariki dunia baada ya kuanguka umbali wa futi 300 kutoka kwenye Maporomoko ya…
Read More »
NEW YORK: MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Sean Combs (P.Didy), Cassie Ventura maarufu Cassie ameweka wazi kuwa kwa sasa hana mpango wa kurejea kuishi nchini Marekani baada ya kuhama nchi…
NAIROBI: RAPA maarufu kutoka Kayole, Nairobi nchini Kenya, Timothy Omondi maarufu Toxic Lyrikali amewaacha wengi wakishangaa baada ya kudai kwamba hakuwahi kuwa na mpango wa kuhudhuria hafla iliyofanyika Ikulu ya…
MUMBAI: NYOTA wa Bollywood, Akshay Kumar, ameendelea kuonesha kuwa mbali na mafanikio ya filamu, pia ni bingwa wa uwekezaji baada ya kuuza nyumba zake mbili zilizopo katika jiji la Mumbai…
THAILAND: MASHABIKI wa filamu za mapigano wana sababu ya kutabasamu baada ya taarifa kuthibitisha kuwa filamu mpya ya John Rambo imeanza rasmi kurekodiwa nchini Thailand, huku muigizaji Noah Centineo akitarajiwa…
LOS ANGELES: JUKWAA kubwa la utazamaji duniani, Netflix, limewaandalia mashabiki wake mwezi wenye pilika nyingi baada ya kutangaza ujio wa makala nane mpya zitakazoanza kuoneshwa mwezi huu wa Juni 2026.…
DAR ES SALAAM:BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka waogeleaji wa Tanzania wanaoshiriki Mashindano ya Kuogelea ya Wazi ya Afrika nchini Mauritius kurejea nyumbani na medali, likisisitiza kuwa safari yao…