Kwingineko

Nkunku nje miezi 3 na nusu

MSHAMBULIAJI mpya wa Chelsea, Christopher Nkunku atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu na nusu kufuatia kufanyiwa usapuaji wa goti.

Nkunku aliumia Agosti 2, 2023 katika mchezo wa kirafiki wa klabu yake dhidi ya Borrusia Dortmund ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.

Juni 20, 2023 Chelsea ilinasa saini ya mfaransa huyo kutoka RB Leipzig ya Ujerumani kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 52 sawa na shilingi bilioni 159.5.

Related Articles

Back to top button