Man City kuendeleza ubabe EPL leo?
BAADA ya bingwa mtetezi wa Ligi Kuu England, Manchester City kuanza vyema kampeni kwa ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Burnely, mechi kadhaa za ligi hiyo na ligi nyingine kubwa nne ulaya zinaendelea leo viwanja tofauti.
Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Fulham vs Brentford
Liverpool vs AFC Bournemouth
Wolverhampton wanderers vs Brighton & Hove Albion
Tottenham Hotspur vs Manchester United
Manchester City vs Newcastle United
LALIGA
Real Sociedad vs Celta Vigo
Almeria vs Real Madrid
Osasuna vs Athletic Bilbao
SERIE A
Empoli vs Verona
Frosinone vs Napoli
Genoa vs Fiorentina
Inter vs Monza
BUNDESLIGA
Augsburg vs Borussia Monchengladbach
Bayer Leverkusen vs RB Leipzig
Hoffenheim vs Freiburg
VfB Stuttgart vs Bochum
Wolfburg vs FC Heidenheim
Borussia Dortmund vs FC Cologne
LIGUE 1
Lyon vs Montpellier
Toulouse vs Paris Saint-Germain