Kwingineko
Mitanange kufuzu Euro 2024
MECHI kadhaa za kufuzu fainali za Ulaya 2024 zinapigwa leo kwenye viwanja tofauti.
Mitanange hiyo ni kama ifuatavyo:
KUNDI B
Ufaransa vs Irelend
Uholanzi vs Ugiriki
KUNDI E
Jamhuri ya Czech vs Albania
Poland vs Visiwa vya Faroe
KUNDI G
Lithuania vs Montenegro
Serbia vs Hungary
KUNDI H
Kazakhstan vs Finland
Denmark vs San Marino
Slovenia vs Ireland ya Kaskazini