Tetesi

Mendy akubali kwenda Saudia

MAKUBALIANO binafsi kati ya kipa Edouard Mendy na Al-Ahli Saudi FC yameafikia juu ya kijiunga klabu hiyo kutoka Saudia Arabia.

Mazungumzo yapo katika hatua za mwisho kwa mlinda mlango wa Senegal kujiunga na ligi ya Saudia kutoka Chelsea kwa mkataba wa kudumu.

Wachezaji watano kutoka Chelsea mpaka sasa wameripotiwa kutakiwa na timu mbalimbali.

Hakim Ziyech huenda akitimkia Al-Nassr, Koulibaly pia, Kante tayari amejiunga na Al-Ittihad, Kovacic anawindwa na Man City, Kai Havertz huenda akajiunga na Arsenal, huku Aubameyang akiwa bado haelewi mustakabali wake.

 

 

Related Articles

Back to top button