Nyumbani
Max mchezaji bora Agosti
KAMATI ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imemchagua Mchezaji wa Yanga SC, Max Nzengeli kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti, 2023.
Max amewashinda Stephane Aziz Ki (Yanga SC) na Jean Baleke wa Simba SC ambao aliingia nao fainali katika mchakato wa tuzo za mwezi uliofanywa na kamati hiyo.