BAADA ya michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutotoa mshindi Septemba 29, ligi hiyo inaendelea leo kwa mechi mbili.
Mashujaa ya Kigoma itakuwa mgeni wa Namungo kwenye uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi.
Geita Gold itakuwa uwanja wake wa nyumbani wa Nyankumbu mkoani Geita kuikaribisha KMC.