Kwingineko
Man UTD vs Bayern: Mechi ya kisasi UCL

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) inaendelea leo kwa michezo nane kwenye viwanja tofauti ukiwemo Manchester United dhidi ya Bayern Munich.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Munich Septemba 20, Bayern iliichapa Manchester United mabao 4-3.
Michezo mingine ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
FC Copenhagen vs Galatasaray
KUNDI B
Lens vs Sevilla
PSV Eindhoven vs Arsenal
KUNDI C
Napoli vs SC Braga
Union Berlin vs Real Madrid
KUNDI D
FC Salzburg vs Benfica
Inter vs Real Sociedad