EPLKwinginekoLa Liga
Kivumbi Spurs vs Man United leo

BAADA ya Manchester City kuiangamiza Arsenal kwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England(EPL), ligi hiyo inaendelea leo kwa michezo kadhaa.
Pamoja na EPL mechi za Ligi Kuu Hispania, nusu fainali ya pili ya Kombe la Italia na mechi ya marudiano ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa wanawake zinafanyika leo.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Everton vs Newcastle
Southamton vs AFC Bournemouth
Tottenham Hotspur vs Manchester United
LALIGA
Valencia vs Real Valladolid
Villarreal vs Espanyol
Athletic Bilbao vs Sevilla
NUSU FAINALI KOMBE LA ITALIA
Fiorentina vs Cremonese
NUSU FAINALI LIGI MABINGWA ULAYA WANAWAKE
Barcelona vs Chelsea