EuropaKwingineko

Iwe isiwe ni Man U au Barca leo

MCHEZO wa marudiano kuamua timu ipi isonge mbele michuano ya Ligi ya Europa kati ya Manchester United na Barcelona unapigwa leo kwenye uwanja wa Old Trafford, Manchester.

Katika mchezo wa kwanza Februari 16 timu hizo zilitoka sare ya magoli 2-2 kwenye uwanja wa Spotify Camp Nou jijini Barcelona.

Michezo mingine ya michuano leo ni kama ifuatavyo:

FC Midtjylland vs Sporting CP
Monaco vs Bayer Leverkusen
Nantes vs Juventus
PSV Eindhoven vs Sevilla
Renners vs Shakhtar vs Donetsk
Roma vs FC Salzburg
Union Berlin vs Ajax

Related Articles

Back to top button