Featured
Inter vs Barca patashika Ligi ya Mabingwa Ulaya

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi inaendelea leo kwa michezo 8 katika viwanja tofauti.
Mchezo kivutio ni kati ya Inter Milan itakayokuwa mwenyeji wa Barcelona Kundi C katika uwanja wa Giuseppe Meazza maarufu San Siro uliopo jiji la Milan.
Michezo mingine ni kama ifuatavyo:
Kundi A
Ajax vs Napoli
Liverpool vs Rangers
Kundi B
Club Brugge vs Atletico Madrid
FC Porto vs Bayer Leverkusen
Kundi C
Bayern Munich vs Viktoria Plzen
Kundi D
Marseille vs Sporting CP
Eintracht Frankfurt vs Tottenham Hotspur