KikapuMichezo Mingine

Nuggets mabingwa wapya NBA

Timu ya mpira wa kikapu, Denver Nuggets imetwaa ubingwa wa ligi ya mpira wa kikapu  Marekani baada ya kuibuka na ushindi wa alama 94 dhidi ya 89 za Miami Heat katika mchezo wa fainali ya tano.

Nuggets wameshinda fainali tatu mfululizo hivyo kufanya kuwa na ushindi wa jumla ya pointi 4-1 na kufifisha ndoto za Miami Heats za kupindua meza.

Nyota wa Nuggets Nikola Jokic ndiye aliyeongoza maangamizi kwa kufunga alama 28 katika mchezo huo.

Related Articles

Back to top button