Nyumbani

Azam kukiwasha kirafiki dhidi ya Mbuni

WAKATI klabu za Ligi Kuu Tanzania zikijiandaa na kurejea kwa hiyo, timu ya Azam leo itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni ya Arusha.

Kupitia mitandao yake ya kijamii Azam imeandika: “Tunatarajia kukipiga dhidi ya Mbuni kwenye mchezo wa kupasha misuli joto, utakaofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha leo Alhamisi saa 10.00 jioni.”

Baada kusimama kwa muda kupisha michuano ya kimataifa Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea tena Septemba 15.

Related Articles

Back to top button