Nyumbani

Azam FC wautaka ‘Usweeden’ wa AIK Fotboll

DAR ES SALAAM : Waoka mikate wa jiji la Dar Es Salaam Azam FC imetangaza ushirikiano na klabu ya ligi kuu ya Sweeden AIK Fotboll.

Azam na AIK Fotball wameingia mkataba wa kushirikiana kwa muda wa miaka mitano Makubaliano ambayo yatatoa nafasi kwa wachezaji wa Azam FC kupata mafunzo chini ya wataalam waliobobea kutoka kwa wasweeden hao

Taarifa iliyotolewa kwa umma na Azam FC imebainisha kuwa wachezaji wa Azam watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya AlIK Fotboll bila kusubiri mlolongo mrefua.

Related Articles

Back to top button