KLABU ya Yanga imerejea katika uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo kuikanda Namango mabao 3-1.
Mchezo huo pekee wa ligi hiyo leo umefanyika uwanja wa Majaliwa, uliopo Ruangwa mkoani Lindi.
Kwa matokeo hayo Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 46 baada ya michezo 17 wakati Namungo ipo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 23 baada ya michezo 20.
FULLTIME
NAMUNGO 1 – 3 YANGA
Ibrahim Bacca 69′(og) Mudadhir Yahya 54′
Clement Mzize 57′
Stephanie Aziz Ki 62′