Featured
Balozi Mero M/Kiti GBT


RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Modest Mero(Mstaafu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Michezo ya Kubahatisha(GBT).
Taarifa ya Ikulu Chamwino, Dodoma iliyotolewa leo Beijing, China imesema Balozi Mero ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya African Discovery Group, New York, Marekani.
Uteuzi huo unaanza mara moja.