World Cup

Tanzania kufuzu nusu fainali Kombe la Dunia leo?

TIMU ya taifa ya soka ya wanawake chini ya miaka 17(Serengeti Girls) leo inashuka dimbani dhidi ya Colombia katika mchezo wa robo fainali wa michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea India.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Pandit Jawaharlal Nehru uliopo mji wa Goa.

Tanzania imetinga robo fainali baada ya kushika nafasi ya pili kundi D nyumba ya Japan iliyoongoza kundi hilo.

Related Articles

Back to top button