Vuta ni kuvute kufuzu Kombe la Dunia

MICHUANO ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026 inaendeleo leo ukanda wa Afrika kwa mechi tisa.
Miamba kadhaa ya mpira wa miguu Afrika itashuka dimbani leo na mechi hizo ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Misri vs Djibouti
Kundi B
Sudan vs Togo
KUNDI C
Nigeria vs Lesotho
KUNDI D
Cape Verde vs Angola
KUNDI E
Morocco vs Eritrea
KUNDI F
Burundi vs Gambia
Gabon vs Kenya
KUNDI G
Botswana vs Msumbiji
Algeria vs Somalia
Kwa upande wa Ulaya ni kama ifuatavyo:
KUNDI A
Cyprus vs Hispania
Georgia vs Scotland
KUNDI F
Azerbaijan vs Sweden
Estonia vs Austria
KUNDI G
Bulgaria vs Hungary
Montenegro vs Lithuania
KUNDI J
Liechtenstein vs Ureno
Luxembourg vs Bosnia and Herzegovina
Slovakia Iceland
Fainali za Kombe la Dunia 2026 zimeandaliwa kufanyika kwa pamoja Canada, Marekani na Mexico.