Tetesi
United kumpa Rashford mkataba mpya

MANCHESTER United wapo katika nafasi nzuri ya kufikia makubaliano na mshambuliaji wao Marcus Rashford juu ya kuongeza mkataba mpya.
Taarifa ya mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano imeeleza Rashford anajiandaa kupokea ofay a mkataba mpya.
Imeelezwa Mwingereza huyo anafurahia uwepo wake klabuni hapo chiini ya kocha Ten Hag