AfricaAfrika Mashariki
Uganda bingwa CECAFA U18
TIMU ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya miaka 18 imetwaa ubingwa wa michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) baada ya kuifunga Kenya kwa mabao 2-1 katika mchezo wa fainali.
Wenyeji Kenya ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Jomo Kenyatta mjini Kisumu.
FULLTIME
UGANDA U18 🇺🇬 1-2 KENYA U18 🇰🇪
Syphas Owuor⚽️65′ Batiibwe ⚽️77′
Mutebi⚽️ 91
Tanzania imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga Rwanda kwa mabao 3-1.