Ligi Daraja La Kwanza

Single Again yafikisha watu milioni 20

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva, Rajab Abdul, ‘Harmonize’ ambaye kwa sasa anayetamba na wimbo wake wa ‘SingleAgain kupitia Youtube umefikisha watazamaji milioni 20

Harmonaze ameandika kupitia instagramu yake kuwa watazamaji hao sio wa kununua.

“Watazamaji sio wa kununua na nazijua video zilizotumia maroboti kupata watazamaji wengi nitawaumbua wanaofanya hivyo siku nikianza kutumia Pombe tena.”

Pia anasema kama mtu hauna wimbo wa Kiingereza usimuongeleshe Hii ni baada ya Wimbo wake wa SingleAgain kufikisha watazamaji Milioni 20 kwenye Youtube.

Aidha Harmonize akoshwa na kasi ya ukuaji wa tasnia ya muziki wa Afrika Mashariki. Adai ni wakati wa wao kuto kufanya show za ufunguzi kwenye Festivals. “Hatutafungua show tena kwenye Festivals….”.

Related Articles

Back to top button