BurudaniLigi Daraja La Kwanza

Wolper aitaka hotel nyota tano

Mrembo kutoka katika kiwanda cha filamu nchini Jacqueline Wolper ameweka bayana ndoto yake ya kumiliki hotel yenye hadhi ya nyota tano(5*).

Wolper amesema kuwa anatamani kuwa mfanya biashara mkubwa wa kumiliki appatment na hotel ya nyota tano.

“Natamani nifikapo miaka 40 niwenamiliki apparent zangu na hotel yenye hadhi ya nyota 5 hapa Tanzania ndio ndoto yangu kubwa katika maisha yangu.” amesema Wolper

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button