Ligi Ya WanawakeNyumbani

Simba Queens dimbani Ligi Kuu wanawake

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa Dar es Salaam.

Simba Queens itakuwa mwenyeji wa Amani Queens kwenye uwanja wa Uhuru.

Katika michezo mitatu ya ligi hiyo iliyofanyika Aprili 25, Yanga Princess imeichapa Ceasiaa Queens mabao 2-0, JKT Queens ikiikandamiza The Tigers Queens mabao 6-0 wakati Alliance Girls imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mkwawa Queens.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button