Habari Mpya

Pepe astaafu soka la kulipwa

Kepler Laveran de Lima Ferreira, maarufu kama Pepe ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 41.

Pepe amecheza katika klabu kadhaa ikiwemo Maritimo, Porto, Real Madrid na Besiktas.

Mafanikio yake makubwa katika soka ameyapata akiwa Real Madrid aliyoichezea toka mwaka 2007 hadi 2007 akishinda mataji 13.

Jumla ya michezo yote aliyocheza pepe ni 878 na ametwaa mataji 34, wastani wa taji moja kila baada ya michezo 26 tu.

Mwamba imara, mpira haukudai.Kila la kheri pepe!

Related Articles

Back to top button