Ligi Kuu
6 hours ago
Simba yajichimbia Mbweni
AFCON
7 hours ago
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Didier Gomes, amesema kuwa anaamini kikosi chake kitaendeleza walipoishia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa…
Read More »
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake na kufanikiwa…
Read More »
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amempokea msanii maarufu wa muziki wa Rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fally Ipupa, aliyewasili nchini kwa…
DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameongoza orodha ya wanufaika wa mgao wa tozo za mirabaha kwa kupata Sh milioni 12.2, akifuatiwa na Ali Saleh ‘Alikiba’ aliyepata…
DAR ES SALAAM: WAREMBO 24 wanatarajiwa kuingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya fainali za shindano la urembo la Miss Tanzania, linalotarajiwa kufanyika Desemba, mwaka huu katika viwanja vya Dar…
HARARE: ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, ameweka jina lake katika orodha ya wachezaji 11 wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka 2026 nchini Zimbabwe, baada ya kutambuliwa kutokana na…
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, na Rais wa Yanga, Hersi Said, wamewataka Watanzania kutumia fursa zitakazotokana na maandalizi na uenyeji wa Fainali za Mataifa ya…
DAR ES SALAAM: SIMBA wameingia kambini Mbweni, Dar es Salaam, kuanza maandalizi ya mwisho kuelekea katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaochezwa Jumapili. Akizungumza kuhusu…