Filamu
2 hours ago
Filamu ya AI China yapata hasara
Bundesliga
2 hours ago
Majeraha yamkosesha mechi Luis Diaz
EPL
2 hours ago
WAAMUZI wanne wa Tanzania, Florentina Zablon, Janeth Balama, Helen Mduma na Jonesia Rukyaa wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu…
Read More »
MCHEZAJI wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amesajiliwa na Kiyovu Sports Club ya Rwanda kwa mkataba wa mwaka…
Read More »
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ndiye mgeni rasmi katika ufunguzi wa Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania…
Read More »
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Didier Gomes, amesema kuwa anaamini kikosi chake kitaendeleza walipoishia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa…
Read More »
INDIA: INDIA imeendelea kung’ara katika Michezo ya Asian Para Games baada ya Harvinder Singh na Vijay Sundi kutwaa medali ya dhahabu katika upigaji mishale, huku Nitesh Kumar na Naveen Sivakumar…
NEW YORK: MWIGIZAJI mkongwe wa Hollywood, Tom Skerritt, aliyefahamika kupitia filamu maarufu zikiwemo Alien, MASH na Top Gun, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93. Kwa mujibu wa taarifa…
LONDON: MWIGIZAJI na mtayarishaji maarufu wa Hollywood, Tom Cruise, anatarajiwa kutunukiwa tuzo ya 52 ya AFI Life Achievement Award kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu. Taasisi ya…
MUMBAI: WAIGIZAJI Kareena Kapoor na Shahid Kapoor wamevutia hisia za mashabiki baada ya kusalimiana kwa kumbatio la kirafiki katika hafla ya IIFA 2027, tukio lililowakumbusha wengi kuhusu wahusika wao maarufu…
CHINA: FILAMU ya kwanza nchini China iliyotengenezwa kikamilifu kwa kutumia akili mnemba (AI), ‘Sanxingdui: Future Past,’ imekabiliwa na mapokezi hafifu kabla ya kuanza kuoneshwa rasmi katika kumbi za sinema, licha…
NAIROBI: KOCHA wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, Benni McCarthy, amemtaja Luis Enrique wa Paris Saint-Germain (PSG) kuwa kocha ambaye angependa kumuona akiongoza Manchester United, lakini amesisitiza kuwa…