BEKI Ashley Young ataondoka Aston Villa kufuatia mkataba wake kumalizika majira haya ya joto baada ya kuitumikia timu hiyo kwa…
Read More »
MIONGO miwili imepita tangu Jose Mourinho aliposhinda taji la kwanza la ulaya akiingoza Porto kutwaa kombe la UEFA mwaka 2003.…
Read More »
Bayern munchen imetangaza kumteua Karl-Heinz Rummenigge kuwa mwanachama mpya wa bodi. “Ningependa kuishukuru bodi ya usimamizi kwa imani yao na…
Read More »
MLINDA lango wa Yanga Djigui Diarra amewapa matumaini mapya mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wa mkondo wa pili fainali…
Read More »
NEW YORK: MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Sean Combs (P.Didy), Cassie Ventura maarufu Cassie ameweka wazi kuwa kwa sasa hana mpango wa kurejea kuishi nchini Marekani baada ya kuhama nchi…
NAIROBI: RAPA maarufu kutoka Kayole, Nairobi nchini Kenya, Timothy Omondi maarufu Toxic Lyrikali amewaacha wengi wakishangaa baada ya kudai kwamba hakuwahi kuwa na mpango wa kuhudhuria hafla iliyofanyika Ikulu ya…
MUMBAI: NYOTA wa Bollywood, Akshay Kumar, ameendelea kuonesha kuwa mbali na mafanikio ya filamu, pia ni bingwa wa uwekezaji baada ya kuuza nyumba zake mbili zilizopo katika jiji la Mumbai…
THAILAND: MASHABIKI wa filamu za mapigano wana sababu ya kutabasamu baada ya taarifa kuthibitisha kuwa filamu mpya ya John Rambo imeanza rasmi kurekodiwa nchini Thailand, huku muigizaji Noah Centineo akitarajiwa…
LOS ANGELES: JUKWAA kubwa la utazamaji duniani, Netflix, limewaandalia mashabiki wake mwezi wenye pilika nyingi baada ya kutangaza ujio wa makala nane mpya zitakazoanza kuoneshwa mwezi huu wa Juni 2026.…
DAR ES SALAAM:BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka waogeleaji wa Tanzania wanaoshiriki Mashindano ya Kuogelea ya Wazi ya Afrika nchini Mauritius kurejea nyumbani na medali, likisisitiza kuwa safari yao…